Michezo

Marseille yaichakaza RB Leipzig 5 – 2 ,  Payet afunga bao la msimu (Video+picha)

Klabu ya Olympique de Marseille ya nchini Ufaransa imefanikiwa kuifunga timu ya RB Leipzig  kwa jumla ya mabao  5 – 2 usiku wa kumakia leo kwenye dimba la Stade Velodrome na kujikatia tiketi ya kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Europa League.

https://youtu.be/02xIC75H1DI

Marseille ambayo imetinga hatua hiyo kwa kupitia wachezaji wake, S Ilsanker aliyefunga dakika ya 6,B Sarr (9),F Thauvin (38),D Payet (60) na H Sakai  aliyetupia  (90+4) huku RB Leipzig wakipata ya kufutia machozi kupitia kwa wachezaji wake Bruma (2), na J Augustin (55). hata hivyo vijana hao wa Ufaransa wanapita kwa jumla ya mabao 5 – 3 dhidi ya RB Leipzig baada ya kuwa na bao moja kwenye mchezo wao wa kwanza.

Bouna Sarr kept the momentum with Marseille to make it 2-2 on aggregate before celebrating his goal with two clenched fists

Picha za matukio uwanjani wakati wa mchezo wa Marseille ya nchini Ufaransa dhidi ya timu ya RB Leipzig

Marseille captain Payet, formerly of West Ham, ran over towards the home fans as he celebrated his eighth goal of the season

Dimitri Payet scored a superb goal which saw Marseille edge past RB Leipzig in a dramatic Europa League quarter-final

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents