Burudani

Martin Kadinda afunguka alichozungumza na Jack Cliff aliyefungwa China (Video)

Mbunifu wa mitindo @martinkadindaofficial amefunguka kumzungumzia rafiki yake wa karibu Mwanamitindo na video queen, Jack Cliff ambaye amefungwa nchini China mwaka 2013 kutokana Dawa za Kulevya.

Mbunifu huyo ambaye alionekana sana kuumizwa na hali ya mrembo huyo alisema mara ya mwisho wakati anazungumza naye alikuwa anauliza mambo mengi ya kimaendeleo.

Martin ambaye hivi karibuni alimpost mrembo huyo, amesema mara ya mwisho Jack alitamani kununua vitu vya urembo ili akirudi avitumie lakini akakuta vimeisha.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents