Burudani ya Michezo Live

Martin Kadinda: “Sasa hivi sifanyi kazi tena na Diamond, Wema hakualikwa Kigoma kwa sababu haikuwa miaka 10 ya mahusiano” – Video

Martin Kadinda: "Sasa hivi sifanyi kazi tena na Diamond, Wema hakualikwa Kigoma kwa sababu haikuwa miaka 10 ya mahusiano" - Video

Mbunifu wa mavazi kutoka Tanzania Martin Kadinda pia ambaye alishwahi kuwa meneja wa Wema Sepetu na mtu wake wa Karibu sana ameweka wazi sababu za kuacha kufanya kazi na Diamond Platnumz lakini pia sababu za Wema kutoalikwa na Diamond Kigoma ikiwa kama mtu wake wa karibu.

Mbali na hilo Martin alizungumzia maneno aliyokuwa akiyaongea Diamond kipindi anaanza kufanya nae kazi na wakati ule hakuwa msanii mkubwa kama hivi sasa, “Diamond alikuwa anasema mimi ntakuja kuwa msanii mkubwa sana kwa sababu napambana sana”

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW