Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Burudani

Mary J. Blige awabwaga Taraji .P. Henson, Jennifer Hudson na wengineo, Hollywood Walk of Fame 2018.

By  | 

Msanii wa muziki Mary J. Blige, amefanikiwa kuwabwaga mastaa wengine wa kubwa katika tasnia ya burudani katika ushindi wa tuzo ya Hollywood Walk of Fame 2018.


Mrembo huyo amewabwaga warembo kama Taraji .P. Henson, Jennifer Hudson, Angela Basset na Viola Davis na kuondoka na tuzo hiyo.

Mary J. Blige ambaye ametimiza miaka 47 aliweza kuongea kushukuru mashabiki zake ka kusema kuwa “I am so grateful for this star right now because I’ve earned it probably three times, and I say that with confidence and not arrogance. I know my work and I understand what this means. Dee Rees called me and gave me a job and put my life back in motion with ‘Mudbound’. Dee, I want to thank you for calling me. I don’t think you understand what you did… You really really helped save my life. ‘Mudbound’ opened up doors and gave me strength that I didn’t even know I had.”

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW