Burudani ya Michezo Live

Mary J. Blige na Nipsey Hussle kupewa tuzo za heshima na BET

Aliyekuwa msanii wa muziki wa Hip Hop nchini Marekani, Marehemu Nipsey Hussle na Mwanamuziki mkongwe wa wa R’n’B nchini humo, Mary J. Blige, wanatarajia kupewa tuzo za heshima za Humanitariani Awards na Lifetime Achievement Award kwenye tuzo za kituo cha runinga cha BET, zitakazofanyika Juni 23-25 mwaka huu nchini humo, katika ukumbi wa Microsoft Theater, Mjini Los Angeles .

Marry J. Blige

Marehemu Nipsey na Mary J, watapewa tuzo hizo kutokana na mchango wao kwenye jamii kupitia kazi zao za sanaa.

Mary J, ambaye pia alishawahi shinda tuzo lukuki za kimataifa ikiwemo zile za Grammy Awards, Atatunukiwa tuzo hiyo ya Lifetime Achievement Award kama heshima kutokana na mchango wake mkubwa alioutoa kwenye muziki tangu mwaka 1992.

Mpaka sasa tuzo hizo za heshima zimechukuliwa na wanaharakati pamoja na wasanii kama Whitney Houston, Diana Ross, New Edition, James Brown, Prince, Anita Baker, Charlie Wilson, na wengineo. Hii ni tangu tuzo hizo zianzishwe mwaka

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW