Michezo

Masau Bwire kupoteza rundo la line zake, sasa kukutana na rungu la TCRA

Baada ya Serikali kutangaza kudhibiti umiliki holela wa laini za simu na kutaka mtu yoyote atakayetaka kusajili zaidi ya mbili kumlazimu kujaza fomu ya kutoa sababu za kutaka ya pili hivyo jambo hilo huwenda likamuathiri, Masau Bwire ambaye amezoea kutembea na zaidi ya simu saba zenye line kila moja.

Bwire ambaye ni msemaji machachari wa klabu ya Ruvu Shooting amekuwa na desturi ya kutembea na rundo la simu ambalo hutumia line nyingi zaidi.

Serikali kudhibiti umiliki wa laini za simu, ukitaka ya pili utaomba TCRA

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi, Atashasta Nditiye aliyeeleza kuwa katika udhibiti huo watashirikiana na NIDA kupitia vitambulisho vya Taifa.

Related Articles

3 Comments

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents