Michezo

Mascherano Haendi Inter-Milan

 

Kocha Roy Hodgson amesema kamwe Inter Milan haina uwezo kusajili mchezaji kutoka Anfield.

Mabingwa wa soka ulaya wanaonolewa na kocha Rafael Benites wamekuwa wakimwania kiungo, Javier Mascherano kutoka Liverpool. Lakini nyota huyo anayetokea nchini Argentina, aliweka wazi dhamira yake ya kutaka kuhama Anfield, jambo linaloipa nguvu Inter kuamini  kwamba itaweza kumnasa na kumsaini kiungo huyo.

‘Nimezungumza na Massiamo Morratti kuhusu kumsajili Mascherano. Ukweli ni kwamba hawawezi kumsajili mchezaji wa Liverpool, Najua kwa sasa wanahitaji wachezaji kama wawili mpaka watatu , lakini sidhani kama wataweza  kununua.’ alisema Hodgson ,

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents