Burudani

Mashabaki washangazwa na ujio wa Kanye West kwenye Instagram

Baada ya kufuta akaunti zake zote za mitandao ya kijamii, Kanye West amerudi Instagram Jumatano Feb 14 Siku ya wapendanao Pamoja na picha ya kadi ya kibinafsi kwa mke wake Kim Kardashian inayesoma “Happy Valentine’s Day Babe,”

https://www.instagram.com/p/BfMH3xlhS2h/?utm_source=ig_embed

Kanye West aliposti mfululizo wa wanandoa maarufu katika historia ikiwa ni pamoja na Jennifer Aniston na Brad Pitt na Aaliyah na Tupac Shakur na wengine kibao.

https://www.instagram.com/p/BfMalzjhcEw/?taken-by=kanyewest

https://www.instagram.com/p/BfMPl7mB_qF/?taken-by=kanyewest

https://www.instagram.com/p/BfMNCToB_p8/?taken-by=kanyewest

Baadhi ya mitandao ya kijamii yalipuka na msisimko juu ya kurejea kwa rapa huyo kwenye mitandao ya kijamii.Angalia majibu yote ya mashabiki hapa chini.

https://twitter.com/Four_Pins/status/963865632142970881
https://twitter.com/_DanielWright/status/963915549930672128
https://twitter.com/roachgrip/status/963953272343085056

Ikiwa imepita siku moja tu tangu kanye afungue akaunti yake ya Instagram, tayari amepata followers zaidi ya milioni mbili.

Na Raheem Rajuu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents