Burudani ya Michezo Live

Mashabiki wa Basketball wafurahia kurudi kwa ESPN ndani ya DStv (Video)

Wiki kampuni ya @dstvtanzania ilitangaza kurudi kwa channel mbili za ESPN ambazo itakuwa zinaonyesha matukio mbalimbali ya michezo na burudani. Mmoja kati ya wachambuzi wa Basketball kutoka Clouds, Coutinho amedai hatua hiyo ni mzuri kwa maendeleo ya basketball nchini Tanzania.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW