Tupo Nawe

Mashabiki wa Kenya waiponda biashara mpya ya Octopizzo (vikombe)

Mwaka jana uliwendea vizuri Ivo Ivo rapper Octopizzo kutoka Nairobi Kenya ambaye licha ya nyimbo zake kufanya vizuri katika chati mbalimbali za radio na TV aliingia pia katika ulimwengu wa biashara.

Octo-kikombe1

Baada ya kutambulisha clothing line yake, condom, pamoja na boxer za kitenge sasa rapper huyo ameamua kuingiza sokoni vikombe (mug) vyenye picha yake.

Octo-kikombe-2

Octopizzo aliweka picha ya mug hizo (August 1) zilizoambatana na mistari hii “Bila hii Kikombe marapper bado nawaacha na Hiccup..
Sai vikombe ni zangu i don’t need to mug them anymore,
macho red ki ketchup but still hawawezi catch up..
At the studio with Musyoka cooking that Hit that will leave them Talking..”

Baadhi ya mashabiki wa Kenya wameonekana kutoipokea vizuri taarifa hiyo, na hizi ni baadhi ya comments kutoka kwa mashabiki wa Kenya kupitia Kenyan Post ambao wameonekana kutomuunga mkono safari hii…

-Seriously why wud anyone wish to have such an ugly face in his/er kitchen?!
-Only a lunatic would buy such a cup NKT
-Who the hell is this with such a strange name? ati Octopizzo Wtf!!

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW