Burudani

Mashabiki wamwambia AKA asonge mbele baada ya kuposti ujumbe mwingine kuhusu Ex wake Bonang

By  | 

Ikiwa imepita Wiki moja tu baada ya msanii huyo kushambuliwa na mashabiki kwenye mtandao wa Twitter mara baada tu alipo achana na aliyekuwa mpenzi wake Bonang

Wiki hii rapa huyo ameamua kuposti lyrics za Kanye West kwenye ukurasa wa Twitter huku lyrics hizo zikiashiria maumivu na unywaji pombe.

Mashabiki wamempa mawazo mbalimbali na wengine wakimshauri ajikaze na aendele kusonga mbele. Mashabiki wametoa hoja zao kupitia memes na maoni angalia hapo chini.

AKA aliwajibu kuwa na yeye pia ni binadamu wamsimjibu vibaya.
“The problem with Twitter is that people think celebs are some sort of robots here to serve the public. Sit with your keypads at your fingers and try to embarrass us then cry foul when we react. Well, I’m not one of those celebs. I’m a real person. Not a bot. I’m not just data,” aliandika hivyo wiki iliyopita katika akaunti yake ya Twitter.

Na Raheem Rajuu

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments