Burudani

Mashallah! Dudu Baya amtambulisha binti yake jukwaani Jijini Mwanza (+video)

Rapper mkongwe Dudu Baya jana usiku alitumia dakika 1 kwenye jukwaa la Wasafi Festival mkoani Mwanza kumtambulisha Binti yake wa kike aitwaye mariamu.

Dudu Baya awali alisema kuwa hakutaka mtoto wake ajulikane sana kwenye Media, hii ni kutokana na usumbufu anaoupata kwa mtoto wake wa kiume Wille ambaye naye anafanya muziki.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents