Burudani ya Michezo Live

Mashindano ya 20 ya Kuhifadhi Quran, Rais Magufuli ashangazwa na sauti ya Binti wa miaka 12 (+video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Mei 19, 2019 ameshangazwa na uwezo wa sauti ya Binti wa miaka 12, Sumayya Abdallah kwenye mashindano ya 20 ya kuhidhi Quran yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, ambapo yeye alikuwa mgeni rasmi.

Binti huyo ambaye anatoka Tanzania ameshika nafasi ya 5 na Rais Magufuli amempa Tsh Milioni 1 kama zawadi kwa kuwa yeye ndiye binti pekee aliyekuwepo kwenye mashindano hayo.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW