Michezo

Mashindano ya Magari yaanza Dar

gari_mashindano

Leo saa moja asubuhi magari 22 yalianza mashindano yake katika viwanja vya Mlimani City, na kuzunguka hadi Bagamoyo ambapo watafanyia matengenezo ya muda kwa  magari hayo katika sehemu moja inayoitwa Baobao kabla ya kuendelea na safari hiyo.


Magari hayo yatamaliza mashindano hayo saa kumi jioni na kisha siku ya kesho jumapili yataanza tena kwaajili ya kumtafuta mshindi, katika viwanja vya Mlimani City muda unaokadiriwa saa kumi .

Gari_mashinano_yanaanza

 

gari_namba_kumi_natisa

 

Gari_ngu_nyekundu

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents