Tia Kitu. Pata Vituuz!

Mashinji baada ya kuhamia CCM akutana na viongozi wa Chadema Mahakamani na kusalimiana nao, Halima mdee amchunia – Video

Mashinji baada ya kuhamia CCM akutana na viongozi wa Chadema Mahakamani na kusalimiana nao, Halima mdee amchunia - Video

Hivi ndivyo aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dkt Vicent Mashinji alivyofika mahakama ya Kisutu leo na kukutana na viongozi wa Chadema nma kusalimiana na baadhi, Mashinji aliyehamia CCM na viongozi wengine nane wa chama hicho wanakabiliwa na kesi ya jinai yenye mashtaka 13 yakiwemo ya uchochezi.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW