Tupo Nawe

Masikini Bi Cheka anaumwa, ‘Mkubwa Fella, Aslay, Mbosso wamenitenga labda wanataka nife’ (+ Video)

Aliyekuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya chini ya kundi la Mkubwa na wanae lililopo chini ya Mkubwa Fella, Bi Cheka amefunguka na kuweka wazi kile kinachomsumbua.

Akipiga stori na Bongo5 nyumbani kwake Bunju B msanii huyo amefunguka mengi sana kuhusu maisha yake ya sasa na jinsi anavyopata shida. Bi Cheka amesema:-

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW