Habari

Masogange aacha mjengo wa kisasa kijijini kwake, hajawahi kuingia tangu aujenge (+video)

Marehemu Agness Masogange ameacha mjengo mkubwa kijijini kwake Utengule lakini cha ajabu ni kwamba licha ya nyumba hiyo kukamilika, Marehemu hajawahi kuishi wala kuingia kwenye nyumba hiyo bali aliishia kuuona tu kwa njia ya picha kwenye simu.

Hiyo ni kwa mujibu wa maelezo ya ndugu waliozungumza na Bongo5 moja kwa moja kutoka kijijini hapo, ambapo leo Aprili 23, 2018 mwili wa Masogange unapumzishwa kwenye makazi ya kudumu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents