Habari

Masogange ameacha mtoto mmoja, Bongo Movie wachanga kiasi hiki kumsomesha (+video)

Marehemu Agness Masogange ameacha mtoto mmoja wa kike ambaye kwa sasa anasoma darasa la saba, na tayari Waigizaji wa filamu nchini Tanzania (Bongo Movie) wamemchangia kiasi cha shilingi milioni mbili kwa ajili ya kumsomesha, hayo ni kwa mujibu wa Zamaradi Mketema ambaye ndiye aliyethibitisha taarifa hizo leo Aprili 22, 2018 wakati wa kuuaga mwili wa marehemu katika viwanja vya leaders jijini Dar es salaam.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents