Bongo5 Exclusives

Mastaa 10 wa Tanzania wenye tweets nyingi zaidi

Diva Loveness

Kwa mastaa wanaoenda na wakati mtandao wa kijamii wa Twitter umekuwa kama yalivyo maji na udongo. Twitter umekuwa ni mtandao uliopo mikononi mwao muda mwingi kwa simu zao za smartphone kama Blackberry. Twitter imekuwa ni sehemu wasiokosa kuwepo kila siku iendayo kwa Mungu ambapo huitumia kusema yao ya moyoni, kujadiliana mastaa wenzao, mashabiki wao na pia kutoa updates za mambo wanayoyafanya kwa wakati huo. Lakini wapo wanaotweet zaidi kuliko wengine. Na leo October 18, tumeamua kuwaangalia mastaa wenye tweets nyingi zaidi mpaka sasa ambao ni hawa wafuatao.

1. Diva Loveness
Tweets 54,046

2. Michael Mlingwa
Tweeets 42,323

3. Reuben Ndege

Tweets 34,988

4. Salama Jabir
Tweets 33,640

5. Flaviana matata
Tweets 26,405

6. Fid Q
Tweets 23,783

7. Vanessa Mdee
Tweets 22,743

8. MwanaFA
Tweets 17,147

9.Milard Ayo
Tweets 15,977

10. AY
Tweets 15,808

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents