Michezo

Mastaa kibao washuhudia mechi kati ya Serena na Venus Williams

Mastaa kibao jana walijitokeza kushuhudia mchezo wa tennis ambapo Serena Williams alimshinda dada yake Venus kwenye michuano ya US Open.

WILLIAMS1-articleLarge
Serena Williams aliyeipa mgongo camera akikumbatiwa na dada yake kiumri, Venus

Baada ya mchezo huo Serena alisema: She’s the toughest player I’ve ever played in my life.”

US Open Tennis

Mastaa hao ni pamoja na mgombea urais wa Marekani, Donald Trump aliyeungana na mke wake Melania, Oprah Winfrey na rafiki yake Gayle King pamoja na mhariri wa jarida la Vogue, Anna Wintour.

US Open Tennis

Wengine ni pamoja na Kim Kardashian na mdogo wake Kendall Jenner rappers, Nas na Kendrick Lamar, msanii wa soul, Gladys Knight na wengine.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents