Lady Jay Dee

Mastaa maarufu zaidi kwenye mitandao ya kijamii Tanzania hawa hapa!

Tunaishi kwenye dunia mpya ambayo mitandao ya kijamii inatawala. Licha ya kutuunganisha na marafiki zetu muda wote, mitandao ya kijamii hutufanya tufahamu mengi yanayoondelea duniani na watu maarufu huitumia kuwa karibu na mashabaki wao kwa kuwataarifu mipango yao mbalimbali.

Lakini kwa upande wa Tanzania, ni akina nani walio na mashabiki wengi zaidi kwenye mitandao ya Twitter na Facebook? Bongo5 imechunguza na kubaini hawa ndio walio na mashabiki na followers wengi zaidi.

Twitter

1. Hasheem Thabeet – Mchezaji wa mpira wa kikaku kwenye ligi ya NBA katika timu ya Oklahoma City Thunder.

Followers 76,216

 

2.Flaviana Matata – Mwanamitindo na Miss Universe 2007

Followers 30,523

 

3. Zitto Kabwe – Mbunge wa Kigoma Kaskazini

Followers 28,440

 

4. Ambwene Yessaya aka AY – Msanii wa hip hop

Followers 23,030

5. Millard Ayo – Mtangazaji Clouds FM

Followers 20,601

6. Hamis Mwinjuma – Msanii wa Hip hop

Followers 19566

7. January Makamba – Naibu waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Technolojia

Followers 15,347

8. Nancy Sumari – Miss Tanzania 2005

Followers 15,172

9. Jokate Mwegelo – MnetAfrica/Channel O Vj, mbunifu wa mavazi na muigizaji

Followers 11,219

10. Diva Loveness – Mtangazaji Clouds FM

Followers 10,349

11. Salama Jabri – Mtangazaji wa TV na jaji wa BSS

Followers 10,364

 

Facebook

1.Fareed Kubanda aka Fid Q – Msanii wa hip hop

Likes 37,583

2. Millard Ayo

Likes 26,806

3. Diva Loveness

Likes 21,786

4. Lady Jaydee

Likes 16,267

5. MwanaFA

Likes 12,040

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents