Mastaa wa filamu waangua vilio Muhimbili wakisubiri mwili wa Mzee Majuto kutolewa mochwari (+video)

Tazama matukio mbali mbali yanayoendelea kwenye msiba wa Mzee Majuto ambapo asubuhi ya leo mwili wa muigizaji huyo mkongwe Tanzania unatarajiwa kuagwa katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam na baadaye kusafirishwa kwenda mkoani Tanga kwa ajili ya mazishi.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW