Burudani

Mastaa wa Nigeria wafurika Port Harcourt kuhudhuria harusi ya Paul Okoye wa P-Square

Mastaa wa Nigeria pamoja na wanasiasa wamefurika kwenye mji tajiri kwa mafuta wa Port Harcourt kuhudhuria harusi ya kimila ya Paul Okoye na Anita Isama.

Paul-Okoye-and-Anita-Isamas-pre-wedding-shoot-15-600x400

Ijumaa hii, uwanja wa ndege wa Lagos ulishuhudia abiria wengi waliokuwa wakielekea Port Harcourt kwenda harusi ya pacha huyo wa kundi la P-Square.

Paul-Okoye-and-Anita-Isamas-pre-wedding-shoot-5-600x387

Harusi hiyo inafanyika leo Jumamosi mjini humo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents