Burudani

Mastaa Wapamba Uzinduzi wa ‘Freedom For All’ ya Shaykaa (Video)

Mrembo Shaykaa ambaye amekuwa akionekana katika harakati za kusaidia watu wa chini pamoja na watoto wanaoishi katika mazingira magumu, usiku wa jana katika hotel ya New Africa jijini Dar es salaam ameanza rasmi safari yake katika muziki. Muimbaji huyo akiwa na Heri Muziki pamoja na PaulĀ  alizindua wimbo wake mpya uitwao Freedom For All ambapo mastaa mbalimbali walihudhuria uzinduzi huo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents