Master J: Shaa amesema kilimo kinamlipa zaidi kwa sasa kuliko muziki (Video)

Baada ya ukimya wa muda mrefu wa muimbaji Shaa, hatimaye mpenzi wa msanii huyo, Master J amefunguka kwa kusema kwamba muimbaji huyo kwa sasa yupo mkoani Mbeya anafanya kilimo na anaingiza pesa nyingi kuliko ambazo alikuwa anazipata kwenye muziki.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW