AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Matani ya Haji Manara akiwa Dubai ‘Konki hajanitaja huko, Wabongo hawakawii’

Msemo wa Konki uliyoanzishwa na msanii wa muziki wa Hip Hop nchini, Dudu Baya wakati akiwataja baadhi ya watu aliyowatuhumu kujihusisha na vitendo vya ushoga umezidi kushika kasi kiasi kwamba hadi baadhi ya watu mashuhuri sasa kuutumia.

Akiwa katika falme za kiarabu msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara hakusita na yeye kuutumia msemo huo kwa mskhara akiuliza kama Konki hajamtaja jina lake.

”Hamjambo!! Konki hajanitaja huko?, Wabongo hawakawii!!. Okey mm najilia Nchi huku,maisha yanahitaji kujituma kisha kula bata,endeleeni kutajana tu,” amesema Haji Manara akiwa Dubai.

Hamjambo!!
Konki hajanitaja huko?
Wabongo hawakawii!!
Okey mm najilia Nchi huku,maisha yanahitaji kujituma kisha kula bata,endeleeni kutajana tu

Neno Konki limezidi kuwa maarufu kiasi kwamba hadi kutumika katika matangazo ikiwemo WasafiFesrtival tamasha linaloandaliwa na Wasafi.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW