Diamond Platnumz

Matapeli wanaodai kutoa mikopo bila riba wahack akaunti ya Diamond na kujipigia ‘promo’

Kundi la matapeli wanaojiita Saving Foundation leo wameihack akaunti za Facebook na Twitter za Diamond na kuandika ujumbe unaoonekana kama umeandikwa na Diamond.

954702_576105869077898_998020989_n

Tumempigia simu na Diamond ambaye hakuwa na taarifa zozote kumuuliza kama ni yeye ndiye aliyeandika na amekanusha kuandika ujumbe huo.

Ujumbe huo kwenye akaunti ya Facebook ya Diamond unasomeka:

Screenshot - 6_11_2013 , 6_16_56 AM

Matapeli hao pia wamewahi kutumia majina ya Zitto Kabwe na Ridhwan Kikwete kufanya utapeli huo.

Mtaalam mmoja wa masuala ya IT ameiambia Bongo5 kuwa matapeli hao wamejipanga na wana mtandao mkubwa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents