Moto Hauzimwi
TECNO Spark 2

Matiti yageuka kero kwa Amber Rose

Video vixer kutoka Marekani, Amber Rose ameweka bayani juu ya kukerwa na ukubwa wa matiti yake jambo linalomfanya ashindwe kuvaa blauzi ndogo.

Mrembo huyo anayetoka kimapenzi na rapper 21 Savage, amefikiria pia kufanya upasuaji ili kupunguza ukubwa matiti yake hayo. Kupitia mtandao wa Instagram Amber amebainisha hayo

“I’m thinking about getting a breast reduction this year ? my boobs are stupid heavy, my back hurts and I can’t wear cute lil shirts without a grandma bra. I’m really scared of the lollipop scars tho…. any advice? Are there any ladies out there that are much happier even though you have breast reduction scars? And no I don’t have implants so they can’t just cut around the nipples ? tell me about ur experiences ?? – muva,” ameandika mrembo huyo.

Na Laila Sued

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW