Michezo

Matokea ya mechi za klabu bingwa barani ulaya March 16

Michuano ya klabu bingwa barani ulaya iliendelea tena March 16 kwa michezo miwaili, Barcelona na Arsenal na mechi nyingine ni Juventus na Bayern Munich.

article-3495752-3244B13E00000578-668_964x362

Magoli ya Barcelona yalifungwa na wachezaji Neymar da Silva Santos, Luis Suarez na Lionel Messi akahitimisha idadi ya mabao hayo dakika ya 88.

3244131800000578-3495752-image-a-38_1458166270987

Na goli pekee la kufutia machozi la Arsenal limefungwa na Mohamed Elneny dakika ya 51 kipindi cha pili.

Barcelona imeifunga Arsenal jumla ya mabao 5-1 kufuatia ushindi wa mabao 2-0 katika mchezo wa kwanza uliopigwa dimba la Emirates.

article-3495936-3243FD4D00000578-460_636x382

3243C5E400000578-0-image-a-73_1458161976469

Katika mchezo mwingine Bayern Munich imepata ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Juventus ya Italia.

Mabao ya Bayern yamefungwa na Lewandowski, Thomas Muller, Thiago Alcantara na Kingsley Coman, huku magoli ya Juventus ya kifungwa na Paul Pogba, na Juan Cuadrado.

Kwa matokeo hayo Bayern imeshinda jumla ya bao 6-4 kufuatia sare ya mabao 2-2 katika mchezo wa awali.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents