Michezo

Matokea ya michuano ya Klabu Bingwa barani Ulaya iliyo pigwa February 23

Usiku wa February 23 iliendelea michuano ya klabu Bingwa barani Ulaya kwa klabu ya FC Barcelona ya Hispania ilikuwa imesafiri kutoka Hispania hadi London Uingereza kukutana na Arsenal katika mchezo wao wa kwanza hatua ya 16 bora.

messi

317CE4AE00000578-0-image-a-10_1456263022789
Mchezo huo ulimalizika kwa Lionel Messi kuipa ushindi FC Barcelona wa goli 2-0, magoli ya Lionel Messi yaliofungwa dakika ya 71 na 83,.

Mchezo mwinigne wa Ligi ya Mabingwa Ulaya ulikuwa, Bayern Munich ambayo imelazimisha sare ya 2-2 na wenyeji Juventus Uwanja wa Juve.

317CCB8700000578-0-Argentine_talent_Dybala_grabs_the_ball_as_he_celebrates_his_seco-a-87_1456270494846
Paulo Dybala akishangilia baada ya kuipatia Juventus bao la kwanza

317CC21F00000578-0-Arjen_Robben_wheels_away_in_celebration_after_superbly_firing_Ba-a-90_1456270787683

Bayern ilitangulia kwa mabao ya Thomas Muller dakika ya 43 na Arjen Robben dakika ya 55, kabla ya Paulo Dybala kuifungia Juve dakika ya 63 na Stefano Sturaro kusawazisha dakika ya 76.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents