Matokeo Ya Awali Uchaguzi Marekani

Mgombea wa Kiti cha Urais kwa tiketi ya Chama cha Democratic Seneta Baraka Obama ameanza vizuri baada ya matokeo ya awali ya jimbo la Dixville Notch pamoja na Harts Location kuwa ya kwanza kutangaza matokeo ya kura zilizopigwa jimboni humo.

Majimbo hayo ya Dixville na Harts yameendeleza utamaduni wake wa kawaida wa kutangaza matokeo mapema zaidi katika chaguzi za Marekani kila mara uchaguzi unapofanyika.

Matokeo hayo yameonyesha kuwa Baraka Obama amepata kura 15 kwa 6 dhidi ya Mcain mjini Dixville na Kura 17 kwa 10 jimboni Harts.

Haya ndugu zetu wakereketwa wa obama kaeni mkao wa kura kura ndo hivyo zinapigwa leo na hayo ndo matokeo ya muda mfupi uliopita
kwa habari zaidi angalia habari katika tovuti MSNBC

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents