Michezo

Matokeo ya Ligi Kuu Tanzania Bara

Michezo mitano ya ligi kuu ya Tanzania Bara imepigwa katika viwanja mbalimbali hii leo siku ya Jumamosi huku wapenzi wengi wa soka wakiangazia huko Azam Complex Chamazi ambapo mabingwa watetezi Yanga SC ikicheza na Tanzania Prisons.

Katika mchezo huo Yanga SC imetoka sare tasa ya bao 1- 1dhidi ya Prisons

Na katika Uwanja wa Namfua wenyeji klabu ya Singida United imechomoza na ushindi wa mabao 2-1 mbele ya kikosi cha Mbeya City, Kagera Sugar imetoka sare ya bila kufungana na Stand United, wakati Ruvu Shooting ikiibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Majimaji FC huku Mbao FC ikishinda bao 1-0 mbele ya Mwadui FC.

Msimamoa wa ligi baada ya mechi za leo Jumamosi

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents