Michezo
Matokeo ya mechi za UEFA champions league November 25
Michuano ya klabu bingwa Ulaya hatua ya makundi iliendelea tena usiku wa Jumatano November 25, 2015 kwenye viwanja mbalimbali ikizikutanisha timu za kundi A, B, C na D. Michezo hiyo ilimalizika kwa matokeo tofauti tofauti.