Michezo

Matokeo ya mechi zote za ligi ya mabingwa barani Ulaya

Ligi ya mabingwa barani Ulaya uliendelea tena usiku wa kuamkia leo kwa michezo kadhaa huku mchezo ambao ulikuwa ukitazamwa na wengi ni wa Sporting Lisbon na Real Madrid kwakuwa ulikuwa ni wa history kwa mchezaji Cristiano Ronaldo ambaye alikuwa anarejea nyumbani ambapo ndipo maisha yake ya soka yalipo anzia.

Mchezo huo uliisha kwa Madrid kupata ushindi wa 1-2.

Matokeo ya michezo mingine hii hapa

cx5grraxuaescca

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents