Siasa

Matokeo ya uchaguzi Uganda 2021:Rais Museveni aongoza katika kura zilizohesabiwa ( + Video)

Rais wa Uganda Yoweri Museveni anaongoza kwa kura kura nyingi katika matokeo ya awali yaliyotolewa nana Tume ya uchaguziIjumaa asubuhi.

Bw Museveni amepatakura 1,536,205 sawa na (65.02%), huku mshindani wake mkuuRobert Kyagulanyi,maarufu kama Bobi Wine, akipata kura 647,146(27.39%) kutoka vituo 8,310 vya kupigia kura.

Uganda ina jumla ya vituo 34, 684 vya kupigia kura.

Bofya hapa chini:

https://www.instagram.com/tv/CKDtWvmBO0s/

https://www.instagram.com/tv/CKDtWvmBO0s/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents