Burudani

Matonya – Sina team kwenye muziki

Msanii wa Bongo Flava, Matonya amekanusha kuwa na team iliaweze kuhits mtaani kutokana na ngoma zake.

Matonya

Matonya alisema hayo katika kipindi cha 180 Power, Sibuka Fm, alipoulizwa juu ya kuwa na team ambazo zinafanya kazi ya kumsaidia iliaweze kupenya zaidi mziki wake.

“Mimi sina team, team zangu ni Simba na Yanga na Manchester pamoja na Arsenal, sina timu zingine,Mataonya hana mambo mengi, Matonya ni ripoti tu kwa mashabiki kuwa ana mkwaju mpya”

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents