DStv Inogilee!

Mauno ya Tausi katika Tamasha la Amka Kijana Iringa (Video)

Mwigizaji Tausi ni mmoja kati ya wasanii ambao walipanda katika jukwaa la Tamasha la Amka Kijana lililoandaliwa na wasanii wa filamu nchini Tanzania. Tausi alionyesha uwezo wake wa kukata mauno hali ambalo ilizua shangwe uwanjani hapo.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW