Mauno ya Vanessa Mdee ya wapagawisha mashabiki (+Video)

Msanii wa muziki Bongo Vanessa Mdee amekonga mioyo yamashabiki zake kwa kuamua kukata mauno mbele yao wakati wa uuzaji wa Albamu yake ya Money Monday na bidhaa zingine za Cash Madame.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW