Burudani

Mauzo ya muziki kwa njia ya mtandao na CD yalingana kwa mara ya kwanza

Mauzo ya muziki kwa njia ya mtandao yamelingana na mauzo ya CD za kawaida kwa mara ya kwanza mwaka jana, kwa mujibu wa kampuni ya IFPI.

rihanna-is-the-cover-star-of-the-music-issue-body-image-1422374585

Ripoti hiyo imezitaja album zilizouza zaidi mwaka jana kuwa ni soundtrack ya filamu ya ‘Frozen’ iliyouza kopi milioni 10 wakati single ya Pharrell Williams, ‘Happy’ ikiuza kopi milioni 13.9.

Ripoti hiyo imesema uuzaji wa muziki kwa njia ya mtandao kwa sasa unachukua asilimia 46 kwenye soko la muziki.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents