Habari

Mawaziri mubashara kuainisha miradi ya maendeleo

Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kupitia idara ya Habari – Maelezo imesema kuwa inaendelea kuratibu kipindi maalum cha TUNATEKELEZA kinachorushwa na kituo cha runinga cha TBC 1 ikiwa ni moja ya kuimarisha mawasiliano kwa umma na serikali kuhusu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo. Hivyo mawaziri wataanza kuanisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika kipindi hicho wakati awali kipindi kilikuwa kikiwahusisha Makatibu wakuu wa wizara, wakuu wa taasisi zinazojitegemea za serikali kueleza namna wanavyotekeleza miradi ya maendeleo.

Soma taarifa kamili:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents