Soka saa 24!

Maxicana waja kivingini

Baghadad_Face

KUNDI  la muziki wa kizazi kipya Mexicana Lacaveaa, lenye wasanii kumi na moja limesema kwa sasa  linatarajia kuja kivingine katika ujio wao mpya ambao wata zindua albamu ya pamoja na pia kutoa msanii mmoja mmoja ambaye atatoa singo yake .

 

Baghdad mmoja wa kundi hilo amesema baada ya kutoka na kitu cha Kamba tu Kamba wanatarajia kuja na ujio mwingine wa wa wasanii wawili Climax na Baghadad katika wimbo wa Gambe za Flow.

baghada_2

Anasema kwa hivi sasa Baghadad anatoka na wimbo mpya wa Full Ng’aeng’ae, huku Climax akidondoka na wimbo wa Gambe za Dlow.

Anasema wanatarajia kuachia video mbili, ya kwanza ni wimbo ambao atato Baghadad na wimbo mwingine ni Mexicana wote ndani ya wimbo mmoja.

 

 

 

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW