Michezo

Mayanga atangaza majina 24 ya kikosi cha ‘Taifa Stars’ kitakachovaana na Lesotho kufuzu AFCON

Kocha mkuu wa timu ya Taifa Stars, Salum Mayanga ametangaza kikosi chake kwa ajili ya mechi ya kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika dhidi ya Lesotho mwezi ujao June 10 – 2017.

Tokeo la picha la samatta taifa stars

Taifa Stars itaendelea kuongozwa na nahodha wake Mbwana Samatta ambaye anakipiga nchini Ubelgiji katika klabu ya KRC Genk.

Makipa;
Aishi Manula (Azam), Benno Kakolanya (Yanga) na Said Mohammed (Mtibwa Sugar).

Mabeki;
Shomari Kapombe (Azam), Hassan Kessy (Yanga), Mohammed Hussein ‘Zimbwe Jr’ (Simba), Mwinyi Haji, Salim Mbonde (Mtibwa Sugar), Abdi Banda (Simba) na Erasto Nyoni (Azam ).

Viungo;
Himid Mao (Azam), Jonas Mkude (Simba), Said Ndemla (Simba), Muzamiru Yassin (Simba), Simon Msuva (Yanga), Shiza Kichuya (Simba), Farid Mussa (Tennerife, Hispania) na Abubakar Salum ( Azam)

Washambuliaji;
Mbwana Samatta (KRC Genk, Ubelgiji), Thomas Ulimwengu (AFC Eskilstuna, Sweden), Ibrahim Ajibu (Simba), Mbarak Yussuf (Kagera Sugar) na Abdulrahman Mussa (Ruvu Shooting),

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents