Michezo

Mayweather aibukia kwa mabibi kizee wa Torino Juventus, apata nafasi ya kulibeba kombe la Super Cup (+ Picha)

Mbabe wa ndondi duniani kwenye uzito wa kati kutoka nchini Marekani 
 Floyd Mayweather amewashangaza watu baada ya kuibukia Italia.

Ikumbukwe kwamba mabibi kizee wa Torino Juventus walifanikiwa kutwaa taji la Supper Cup katika fainali waliyokutana na AC Milan na kufanikiwa kushinda goli moja lililofungwa na Ronaldo.



Mayweather alifanikiwa kulibeba kombe hilo ikiwa ni ishara ya upenda

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents