Soka saa 24!

Mayweather amchokonoa Mc Gregor “akitaka turudi ulingoni mimi niko tayari” (+ Video)

Mbabe wa ndondi duniani kwenye uzito wa kati kutoka nchini Marekani 
 Floyd Mayweather amefunguka na kumchokonoa mbabe wa MMA McGregor kuwa yuko tayari kurudi ulingo.

Mayweather amefunguka hayo wakati akifanya mahojiano na mchekeshaji Kevin Herat na kusema kuwa ” Endapo Conor MacGregor atahitaji kurudi ulingoni yeye yupo tayari! ameyasema hayo wakati akifanyiwa mahojiano na mchekeshaji Kevin Hart, wawili hao walikutana mara ya mwisho kwenye ulingo August 26 mwaka 2017, na bondia Floyd May weather kuibuka na ushindi wa Technical knockout katika raundi ya 10 hata hvyo pambano hilo liliweka historia ya kuwa pambano la pili kwa mabondia hao kulipwa fedha nyingi.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW