Michezo
Mayweather amelipwa tshs bil 51.2 sawa na bil 4.2 kila round aliyopigana na Guarrero ama mil 23 kila sekunde
Pamoja na kuibuka mshindi jana kwenye pambano la ngumi dhidi ya Robert Guerrero, Floyd “Money” Mayweather amejiondokea na kitita cha dola milioni 32 sawa na shilingi 51,200,000,000 (bilioni 51 na milioni mia mbili. Hiyo ni sawa na shilingi milioni 142 kwa kila dakika ama shilingi milioni 23 kila sekunde.
Huo ni ushindi wa 44 mfululizo wa Floyd Mayweather Jr alioupata kwa point kwenye mpambano uliofanyika MGM Grand jijini Las Vegas.