Mazaug Lunch Party: Sheikh Kipozeo, Khadija Kopa na Aunty Sadaka ndani (+Video)

Jumuiya za madrasa za ugweno imetangaza rasmi Lunch yao maarufu kwa jina la ‘MAZAUG LUNCH PARTY’ itakayofanyika Ubungo Plaza tarehe 06/09/2020 kuanzia majira ya saa 3:00 asubuhi hadi saa 10: 00 Jioni.

Katika Lunch hiyo watakao hudhuria watapata faida ya kupata Elimu, Burudani na Chakula huku wakivuna maarifa yatakayowasaidia.

Baadhi ya watakao toa Elimu katika siku hiyo ya Mazaug lunch party  ni pamoja na

1.Sheikh Muhammad Eid
2.Sheikh Waleed Alhad
3.Sheikh Hilal Kipoozeo
4. Aunt Sadaka

5. MC Mwalimu Makena

Gharama hizi ni pamoja chai asbuhi na chakula cha mchana.

SINGLE 20000tsh/=
DOUBLE 30000tsh/=
TABLE 150000/= (watu 10)
Meza 10 Maalum 300000 tsh/=

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW