Siasa

Mazishi ya Shekh Yahaya Hussein part2

1_Mazishi_kabuli_face

Tunaendelea kukuletea baadhi ya picha ambazo zinaonyesha watu mbalimbali, ambao wamekuja kumzika mzee wetu marehemu Shekh Yahaya Hussein. Walikuwepo viongozi wa serikali wa juu kabisa, huku mazishi yote kwa ujumla yakiongozwa na Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete.

 

1_Mazishi_watoto_wa_shekhe

Watoto wamarehemu   wakizika kwa kutia mchanga kidogo kwenye kabuli

1_Mazishi_Wasira

Wasira akitia baraka zake kwa kuzimka Shekh

 

1_Mazishi_waandishi

Waandishi wa Habari, nao walikuwa wametulia wakifuatilia tukio hadi tukio

1_Mazishi_Slaa__Lipumba

Huu ndiyo mshikamano, kati ya Meya wa Ilala Jerry Slaa wa CCM, na Prof Ibrahim Lipumba wa CUF, katika mazishi ya marehemu Shekh Yahaya Hussein

1_Mazishi_mrithi_wa_shekkhe

1_Mazishi_kupokea__mwili

 

1_Mazishi_Kikwete_na_mtoto

1_Mazishi_Kikwete_na_Hutuba

1_Mazishi_Nccr_-Mageuzi

Kiongozi wa chama cha NCCR -Mageuzi Hashim Rungwe, akiwa kwenye pozi pembezoni mwa mti akifuatilia mazishi .

1_Mazishi_raia

Wananchi nao walihakikisha mpaka wanafika kumsindikiza Marehemu Shekh Yahaya Hussein

1_Mazishi_msafara

Msafara wa Kikwete ukiondoka eneo la mazishi.

Hasante kwa kutembea Bongo5……..

 

 

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents