Habari
Mazungumzo ya kamati iliyoundwa na Rais Magufuli na kampuni ya Bharti Airtel yaanza
Kamati Maalum iliyoundwa na Rais Dkt. Magufuli na Kampuni ya Bharti Airtel yameanza rasmi leo tarehe 12 Machi, 2018 Jijini Dar es Salaam.
Soma taarifa kamili;