Habari
Mazungumzo ya Tanzania na timu ya wawakilishi wa Barrick Gold yakamilika
Majadiliano kati ya wataalamu wa Tanzania na wa kampuni ya Barrick Gold Mine yamekamilika na makubaliano hayo ya pande zote mbili yametiwa saini leo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli.
Soma taarifa kamili: