Mahojiano

Mb Dogg afunguka A-Z matatizo ya kiafya yaliyomkuta kama Ommy Dimpoz, Shingo ilivimba sauti ikapotea (+Video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @mbdog_master amefunguka kiundani zaidi matatizo yaliyomkumba na kupelekea kupotea au kuwa kimya kwenye industry ya muziki wa Bongo Fleva.

Akiongea na Bongo5 Dogg ameeleza kuwa alisumbuliwa sana na tatizo la sauti pamoja na shingo kuvimba kitu kilichopelekea kushindwa kutoa sauti kabisa.

Mb Dogg ameongeza kuwa alijaribu kwenda mahospitalini na kushindikana kilichomsaidia ni dawa za kienyeji (Mitishamba) ambapo ilimlazimu kwenda kutibiwa Mombasa Kenya. Mbali na hilo Mb Dogg ametangaza ujio mpya.

https://www.youtube.com/watch?v=jBIML_1nhyE

https://www.youtube.com/watch?v=3o9BgKEe5mA&t=1s

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents